You Can Cotact Us
Call: +255 759 458 927

Welcome to New Vision Specialist Eye Clinic FAQ
 1. You only need four simple steps to complete your eye consultation at NVSEC (click sign + a picture) Unahitaji kukamilisha hatua nne tu rahisi , kupata matibabu yako ya macho katika klinik yetu - NVSEC
 2. You will be through with your eye consultation at NVSEC in 60 to 90 min Utakuwa umemaliza kupata matibabu yako ya macho hapa NVSEC ndani ya muda wa dk 60- dk 90
 3. On surgical day, you need to be at the clinic for 3 hours at maximum for your surgery to be taken care Katika siku ya operesheni unahitaji muda usiozidi masaa matatu tu kwa tiba yako ya operesheni kukamilika na kurusiwa kurudi nyumbani
 4. Our surgical fundamentals are our True North in our surgical care Kanuni zetu kuu za huduma ya upasuaji salama ndio dira yetu
Fundamentals of our surgical services

 1. Client safety first
 2. Use of advanced surgical techniques with optimal technologies
 3. Surgery done in sterile and calm environment
 4. Competitive prices affordable to majority of our clients
Kanuni kuu za huduma zetu za upasuaji

 1. Tunazingatia usalama wako.
 2. Tunatumia teknolojia na vifaa vya kisasa
 3. Upasuaji ni katika mazingira safi na tulivu
 4. Gharama zetu ni nafuu kwa wagonjwa wengi kuzimudu